Ben Pol: Harmonize ameniliza / mwili ulipata ganzi / amekuwa mkubwa

Bongo5

  • Release Date:
  • Viewer: 13,146
  • Like Video: 152
  • Dislike Video: 4
  • Video Length: 6minutes : 32second

Download 1

Music Video

  Play Audio :

Description

Msanii wa RnB hapa Tanzania, Ben Pol amekiri kuwa baada ya kuona ujumbe wa Harmonize kushukuru kuwepo kwenye wimbo wao mpya wa “Why” mwili wake ulipata ganzi na kulia huku akiamini kuwa msanii huyo kutoka WCB Wasafi ni mkubwa hivyo anatarajia makubwa kwenye wimbo huo.

keyboard_arrow_up